Dunga Dunga wanapewa ushirikiano kwenye Daladala tusiwalaumu

Unamnong'oneza sikioni mshuke kituo kinachofuata.....
 
Mods mbona huyu jamaa anakuja kusambaza picha zangu humu munamwagalia tu?
 
Huo ndio ukweli mkuu, wahanga wakubwa hapa ni wanaume na si wanawake. Mwanamke kama hataki huwezi kumbambia tu akatulia tuli, nishaona sana wanawake wanalazimisha kuwategemea mizigo wanaume.
Hatari sana.Unaweza kuta baadhi yao wana usafiri wao,lkn Kwasababu ya hako Kamchezo wanaamua kupanda usafiri wa Umma.
 
Kumbe wadungwaji wanapenda kamchezo... [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…