Dunga Dunga wanapewa ushirikiano kwenye Daladala tusiwalaumu

Dunga Dunga wanapewa ushirikiano kwenye Daladala tusiwalaumu

Dah umenikumbusha siku moja nimepanda gar linatoka kinondoni kuelekea ubungo...dah ilikuwa balaa tupu..Yan mwanamke amevaa kinguo lainii,..wote tukiwa tumesimama kwa kukosa siti..dah dada Yule akawa anasugulia makalio yake kwny mashne yangu...had nkahis dada Yule may be atakuwa anaelekea kujiuza.....huko anakoenda
Unamnong'oneza sikioni mshuke kituo kinachofuata.....
 
Mods mbona huyu jamaa anakuja kusambaza picha zangu humu munamwagalia tu?
 
Huo ndio ukweli mkuu, wahanga wakubwa hapa ni wanaume na si wanawake. Mwanamke kama hataki huwezi kumbambia tu akatulia tuli, nishaona sana wanawake wanalazimisha kuwategemea mizigo wanaume.
Hatari sana.Unaweza kuta baadhi yao wana usafiri wao,lkn Kwasababu ya hako Kamchezo wanaamua kupanda usafiri wa Umma.
 
Kumbe wadungwaji wanapenda kamchezo... [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom