Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Yu wapi Nape na January?!
Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.
Kiko wapi hatimaye!
Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.
Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.