Dunia duara ukibisha muulize Nape na January Makamba

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
 
Wako wapi jamaa zangu?
 
Ukiamini uongozi ndio kazi yako 'career' kwenye nchi kama Tanzania lazima yatakukuta kama ya nape na januari.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…