Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

Ukielewa haya mambo wala hupati taabu na usijue kwanini upo hapa Duniani.
Quran tukufu imeshaweka wazi ila ni sisi tu kujizonga na kujitoa akili

Qur’an inatufundisha:

1:Tumeumbwa kumuabudu Allah Mungu muumbaji:
Surah Adh-Dhariyat (51:56)
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
👉 “Sikuwakuumba majini na wanadamu ila waniabudu Mimi.”

2:
Dunia ni chumba cha mitihani,ni ya muda, si ya kudumu:

Surah Al-Hadid (57:20)
اعْلَمُوا أَنَّمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا لَعِبٌ وَلَهْوٌ...
👉 “Jueni kuwa maisha ya dunia ni mchezo, starehe, pambo…”

Surah Al-Ankabut (29:64)
وَمَا هَٰذِهِ الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَهْوٌ وَلَعِبٌ
👉 “Na maisha haya ya dunia si chochote ila ni mchezo na upuuzi…”

3:Akhera ndiyo lengo kuu la maisha ya kweli:
Surah Al-A'la (87:16–17)
بَلْ تُؤْثِرُونَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا
وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ
👉 “Lakini mnachagua maisha ya dunia, na Akhera ni bora na ya kudumu zaidi.”

Surah Al-Qasas (28:77)
وَابْتَغِ فِيمَا آتَاكَ اللَّهُ الدَّارَ الْآخِرَةَ
👉 “Tafuta kwa yale aliyokupa Allah,(upate) nyumba ya Akhera…”

Acha hizo mambo mkuu
 
Vipi kama kuna kiumbe kinatufuga kwenye banda kubwa ( dunia) halafu mwisho wanatula mmoja mmoja kwa njia ya kifo , bila sisi kushtuka?
ukifa umerudi kwenye Chanzo unakuwa mdogo kama nukta


 
usikate tamaa
karibu jisomee hapa utapata mbinu ya ku over come hayo.


 
Back
Top Bottom