Dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume sababu dunia yenyewe ni ulimwengu wa wanaume. Na ukiwa mwanaume ni wajibu wako kupambana against wanaume wenzako ili uwe mmiliki wa hii dunia. Kama ukishindwa hivyo basi tegemea kubaki nyuma. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukubali kuwa victim na kuhitaji huruma, mpaka hapo utakuwa defeated tayari.
Either upambane ushinde au ushindwe, huo ndio mfumo wetu hapa duniani. Angalia historia ya ukoloni, Alexander the great, Genghis Khan, Napoleon Bonaparte, Adolf Hitler. nk.
Maisha ya mwanaume ni kushinda au kushindwa, hakuna in between wala fair.