ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi