Mapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend
unadhani unalalamika JF na bado fairness of the world Utaiona badala ya kumtega? muite chumbani ukiwa na kanga moko dheni muwaooo uone fairness of the world.