Dunia haiko fair

Dunia haiko fair

Mwambie tu, unaomba appointment nae sehemu kisha unampa makavu tu( nina uhakika wakati huo machozi yatakutoka) amini nakwambia hatakataa ingawa kwa suala la kuoana litategemea hisia atakazokuwa nazo na yy kwako,
 
Wakati unampenda siajabu yeye hata hana hisia na wewe ksbisa. Unapopenda hupendwi, usiompenda kakuganda.
Hapo ndo ulipoibuka msemo Moyo sukuna damu si vingine.
Mapenzi shikamooo....
 
Wakati unampenda siajabu yeye hata hana hisia na wewe ksbisa. Unapopenda hupendwi, usiompenda kakuganda.
Hapo ndo ulipoibuka msemo Moyo sukuna damu si vingine.
Mapenzi shikamooo....
Ww utakuwa mhenga bila shaka
 
Hiwa nafurahi sana umu ndan ahahah

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kupenda mtu asiye na hisia na ww hakujawahi kumuacha mtu salama
Chakufanya we mtege, onyesha kwa matendo kua unampenda kimapenzi
Ukiona haelekei achana nae coz atakua hakupendi AU mweleze hisia zako akupige chini na uwe yule mhenga aliesema "mpende akupendae asiyekupenda achananae"
 
Mchombeze chombeze kiaina flani flani hivi mbona ataingia kwenye 18 zako mwenyewe?
 
Mapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend
Utakuwa hujapenda ww, umeshindwa hata kumuonesha kwa ishara tu?
Hata kwa SMS usiku wa manane au kumpigia simu usiku wa manane unambania pua na vimaneno vya kuchombeza?
 
Mapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend
subiri rafiki yako wa karibu avunje ukimya amfuate na ampate ndio utajua maana halisi ya dunia haiko fair
 
lady in action. Then you don't want to act, what do you expect?
 
Back
Top Bottom