- As a man, you can’t stop spending. Just Pray you don’t stop earning.
- Matumizi kwa mwanaume hayakwepeki, ogopa tu siku ambayo utaishiwa pesa.
- Kuvaa, kula, pango, usafiri, n.k. ni juu yako
- Kupata mpenzi utahitaji kutumia pesa, achana na hadithi za mapenzi hayahitaji pesa
- kuoa utahitaji kutoa pesa
- kumtunza mkeo utahitaji kutumia pesa yako hata kama yeye anaingiza
- Kulisha familia ni jukumu lako katika upande wa fedha
- Kujenga nyumba ni wewe
- kusomesha watoto chekechea hadi vyuoni ni wewe
- watoto wameumwa wanahitaji matibabu ni wewe
- kutunza wazazi ni wewe kwenye suala la pesa
- ndugu wa mkeo usomeshe wewe