Ndoa haikwepeki mkuu.Ukikataa ndoa hapo umesave kama 30%
Majukum ya mwanaume hayakwepeki aisee labda kama mboo haisimami kidogo baadhi ya majukum yatapunguaUkikataa ndoa hapo umesave kama 30%
Usiombe uuguliwe,afu ukiwa uko hospital uishiwe hela yaan wanawake kuanzia ndugu wa mkeo,madaktar na manesi wa kike na ndugu wa wagonjwa wengine watakuona kama jinga na usie na akiliUmeongea ukweli ndugu
Siku hela zikisepa ndo utawajua watu vizur hasa akina mama
Usiogope kijana,oaaaaa!!!!Ukikataa ndoa hapo umesave kama 30%
hstari sana, hata ukifa unaweza kuozea mortuary za hospitalini wakaisusa maiti kisa ina madeni ya matibabuUsiombe uuguliwe,afu ukiwa uko hospital uishiwe hela yaan wanawake kuanzia ndugu wa mkeo,madaktar na manesi wa kike na ndugu wa wagonjwa wengine watakuona kama jinga na usie na akili
DuhUsiombe uuguliwe,afu ukiwa uko hospital uishiwe hela yaan wanawake kuanzia ndugu wa mkeo,madaktar na manesi wa kike na ndugu wa wagonjwa wengine watakuona kama jinga na usie na akili
Nyumba yako ina waka moto, halafu una tudanganya nasi tuvagae ehh, 🤣 😂Usiogope kijana,oaaaaa!!!!
Si kweli, tatizo mnasimuliwa changamoto za majambazi waliojivika or kujificha kama wanandoa,kila siku vilio na maumivu . Nawaombea tu mkutane na binadamu sahihi/wanaowapenda na hakika mtatabasamu na kuhubiria mazuri ya maisha ya ndoa na si kupotosha kuwa kila aina hiyo ya maisha ni changamoto kubwa mno hivyo hupaswi kuingia,si kweli.Nyumba yako ina waka moto, halafu una tudanganya nasi tuvagae ehh, 🤣 😂