Dunia Haina huruma

Dunia Haina huruma

narikuu

Senior Member
Joined
Jun 23, 2023
Posts
132
Reaction score
187
Ama kweli Dunia Haina huruma ..Kila siku kukicha kwangu ni afadhali ya jana..najitahidi kufanya kazi ila mwisho wa siku naangukia pua na hasara juu.nmechoka katika hili najihisi kukata tamaa. Nina madeni Kila Kona
Nlichobakiwa nacho kwa Sasa n hii cm iliyochoka, yenye thamani ya 10000

a
mii forums members wenye hela zenu pls Naombeni mnishike mkono katika hili
 
Kweli dunia ni pasua kichwa, wakati wengine wanalia ukata wa maisha, kwa upande mwingine ugumu wa dunia ni msamiati kwao, kwa kuwa kila kitu wanacho akifanya hiki pesa zinatiririka kamaji kwake akigeukia upande mwingine ni pesa tu,wenzake wanapolia ugumu wa dunia wanawaona kama watu waliokosa akili.
 
Ataeguswa nipo tayari kuonana nae km atakua n masha
Kweli dunia ni pasua kichwa, wakati wengine wanalia ukata wa maisha, kwa upande mwingine ugumu wa dunia ni msamiati kwao, kwa kuwa kila kitu wanacho akifanya hiki pesa zinatiririka kamaji kwake akigeukia upande mwingine ni pesa tu,wenzake wanapolia ugumu wa dunia wanawaona kama watu waliokosa akili.
Ndo mana tunashare matatizo wanaoguswa watusaidie
 
AMINI KWAMBA Upande wa movie umehusisha zaidi kitu unacho kieleza mkuu.
Hivyo nakuomba kua mvumilivu kwanamna yoyote ile movie itaisha ukiwa ume play part vizuri sana.
 
Screenshot_20240830-194800.jpg
 
Back
Top Bottom