vulturine vulture
Senior Member
- Sep 5, 2019
- 154
- 99
Saa 7 hii?Kuna mwana hapa kitaa kapga vant mpaka kanya kitu kubwa hatari tunaogopa kumsogelea kila mtu.kasepa pub
Saa 7 hii?
Kapicha tafadhali ili uzi unoge
Uko sahihi, kuna jamaa mmoja ana elimu nzuri lakini anapiga mtungi mpaka mshahara unaisha na hela ya kula inaishia huko kwenye pombe.Usipojithibiti kwenye pombe unakuwa mtu wa hovyo sana, hata pesa ya kununulia mahitaji ya familia utataka ukanywee pombe, hapo network ikirudi atataka apewe mzinga mwingine
Wengine wanadai wamelogwa au wamerithi laana ya ulevi, mimi naona ni ulimbukeni tu. unakuwa useless kabisa kwenye jamiiUko sahihi, kuna jamaa mmoja ana elimu nzuri lakini anapiga mtungi mpaka mshahara unaisha na hela ya kula inaishia huko kwenye pombe.
Akilewa anaibiwa hela, simu kila siku ananunua.
Amekuwa mtu wa hovyo sana, hajaoa, hana mtoto wala hana chochote cha maana zaidi ya pombe
Unaonekana wewe na mtuhumiwa ni ndugu mana izo SHIMHA hapana asee sio mchezoMuongezeni na SHIMHA
Unaonekana wewe na mtuhumiwa ni ndugu mana izo SHIMHA hapana asee sio mchezo
[emoji1][emoji1][emoji1]Leo nilikua nasema..huyu mwenye shimha naamini nw ni tajiri mkubwa sn..jaman shimha znatembea jaman