Dunia hiii haiishi vituko, k-vant hatari

Dunia hiii haiishi vituko, k-vant hatari

Hapo ni sawa na umetuma ujumbe ikarudi delivery report..
 
Usipojithibiti kwenye pombe unakuwa mtu wa hovyo sana, hata pesa ya kununulia mahitaji ya familia utataka ukanywee pombe, hapo network ikirudi atataka apewe mzinga mwingine
Uko sahihi, kuna jamaa mmoja ana elimu nzuri lakini anapiga mtungi mpaka mshahara unaisha na hela ya kula inaishia huko kwenye pombe.
Akilewa anaibiwa hela, simu kila siku ananunua.
Amekuwa mtu wa hovyo sana, hajaoa, hana mtoto wala hana chochote cha maana zaidi ya pombe
 
Wengine wanadai wamelogwa au wamerithi laana ya ulevi, mimi naona ni ulimbukeni tu. unakuwa useless kabisa kwenye jamii
 
huo ndo u-snitch, mtoa mada kazoe kinyesi cha jamaa ako
 
Leo nilikua nasema..huyu mwenye shimha naamini nw ni tajiri mkubwa sn..jaman shimha znatembea jaman
[emoji1][emoji1][emoji1]

Alafu bei ni rahisi ndo shida inapoanziaga apooo
 
Back
Top Bottom