Dunia ielewe kuwa Israeli haipigani na Waislamu au Palestina, bali inapigana na Hamas

Ondoa udini ktk hisia zako za ndani kwanza Ili use na free mind. Kinyune na hapo unaionea nafasi Yako na kuwalisha watu matango pori.
 
Kwani hawawezi kukaa kwa pamoja kwa utulivu?
 
Mbna mnazungumzia HAMS kuua Israel na mnasahau Israel kuua Wapalestina Nalo pia mpaka mfundishwe kuna mtangazaji mmoja wameuliwa Familia yake yote
Huyo mtangazaji alikuwa mfuasi Wa Hamas yeye na watoto wake wawili. Ukishakuwa mfuasi Wa upande mmoja Wa vita tegemea lolote. Dunia hakipaswi kuwa na upande katika vita hivi ili suluhu ya kudumu ipatikane watu Waishi kwa Amani. Umoja Wa Mataifa upewe nguvu na Jumuiya ya Kimataifa kusaka suluhu ya kudumu. Naumia Sana nikiona wanakufa ni watoto na Wanawake ambao hawana maslahi na vita hivi. Uhai kwanzaengine baadaye
 
Mkuu unajua ni mtangazaji Gani ninayeMkusudia Simkusidii wa Aljazeera Ambaye wengi mnamsema
 

-Watu weusi wapo Palestina wachache

-Wengi ni vizazi vya Guards wa zamani wa Al Aqsa

-wanajiona ni Wapalestina na wao pia wanapigania Uhuru wa Palestina, wanafungwa na waisrael na Wanapata tabu kama waarabu.

Soma zaidi hapa

Pia Wakristo Wa Palestina na Waisilamu wa Palestina ni kitu kimoja, Wamepigana Alongside maelfu ya miaka kuanzia enzi Hizo hadi leo, na hata sasa hivi PFLP wanasaidiana na Hamas.
 
Wewe sijui ndivyo ulivyoelewa au tuseme unatetea imani yako.Mwenyewe Netanyahu anapigana na waislamu akiwa amejaa mistari ya biblia.Sasa akifanya yeye hafanyi na wakifanya wengine wamekosea.
 
Wewe sijui ndivyo ulivyoelewa au tuseme unatetea imani yako.Mwenyewe Netanyahu anapigana na waislamu akiwa amejaa mistari ya biblia.Sasa akifanya yeye hafanyi na wakifanya wengine wamekosea.

Kwani waisalamu nao si wanaiamini biblia hasa torati ya wayahudi na zaburi za mfalme daudi wa wayahudi wa kale.
 
Mtoa mada ungejifunza kuandika kwanza, pili usiangalie ulipoangukia angalia ulipojikwaa, HAMAS kwanini wanavamia israel?
Kwanini waliwachukua mateka mpk sasa wanao?
Nani atakuhurumia ikiwa umeenda kuua na kuchukua mateka na bado ubaki nao? Kitendo hichi ndicho kilitangaza vita
 
Wewe sijui ndivyo ulivyoelewa au tuseme unatetea imani yako.Mwenyewe Netanyahu anapigana na waislamu akiwa amejaa mistari ya biblia.Sasa akifanya yeye hafanyi na wakifanya wengine wamekosea.
Kwa mfano Israel ingeenda kuvamia Gaza, ikaua raia na ikachukua mateka zaidi 220 ikaenda nao Israel.
Unafikiri wapelestina wangefanya nini?
 
Kwani hawawezi kukaa kwa pamoja kwa utulivu?
Walikua wanakaa pamoja wakati Nchi inaitwa Palestina, ila Israel Jew ni first class na waliobakia sio binadamu. Unaweza ukawa umelala kwako unaamka asubuhi unasikia kishido paa linang'olewa Settlers wa Ki jew kapenda nyumba yako anaichukua, unafukuzwa kwako na hupewi hata 100.
 
green rajab,
Kwanza Kabisa napinga kitendo icho cha kudhuru watoto...

Hayo ni makosa ya Hamas, kung'ang'ania raia, wanajifichwa kwa raia na kusababisha madhara kwao. Hamas wanatumia binadamu kama ngao ya kujilinda. Hapo wa kulaumiwa sio Israel bali ni hao wanaotumia Binadamu kama Ngao... HAMAS walitakiwa kulinda Raia na kuwaondoa maeneo ya vita, ila wao ndio wanashikilia raia
 
Ndio sasa utafanyaje sasa? Hakuna chochote utafanya. Endeleeni kuilaani Israel huku mmebanamikundu na marinda.

Kutoka deep down in my heart naipenda Israel nakuiombea itimize lengo lake ( the just and sacred course) la kuleta amani Gaza.
Ujinga ni mzigo pole sana
 
Sasa mkuu UISLAM na MUISLAM ni wajibu katika haki za MUISLAM kumsaidia MUISLAM mwenzako katika hali yoyote ili awe mzungu mchina mwarabu
nk UISLAM umeimizwa kusaifiana katika waislam na hata wasiokuwa waislam ikiwa una uwezo wa kufanya hivyo
hata akitoka MUISLM mtanzania akienda kumsaidia mparestina kutetea ARDHI yake ni SUNNA kwa MUISLAM

Lkn jambo jingine tambua TAIFA la parestina katika UISLAM ni muhimu sana hvyo muislam kulisemea ni jambo ambal9 linamuhusu
Na swala la waparestina kiwabagua BLACK hiyo ni moyo wake yeye
Na pia katika UISLAM msaada ni HISANI ukitoa msaada unapata thawabu na usipotoa msaada wala hupati DHAMBI

Ukiachana na UDINI swala la VITA halikubariki 7bu adilimia kubwa wanaoumia pande zote mbili ni watu wasiona hatia
Hvyo wanachofanya ISRAEL KWA PALESTINE ama HAMAS kwa ISRAEL nimwendelezo wa VISASI amabvyo ni HASARA namaafa kwapande zote
 
Bro kuna video kibao live hayo mabomu yakipigwa, angalia hii video niambie kuna Hamas hapo?


View: https://m.youtube.com/watch?v=NN-fFC1omKY
Watu wamekaa zao Supermarket wamepanga Foleni wanalipa

Israel anarusha mabomu specific sehemu ambazo raia wanategemea
1. Kambi za wakimbizi za UN
2. Vyombo vya habari pamoja na Familia zao
3. Bakery za mikate
4. Makanisa na misikiti
5. Hospitali etc.

Unless unaamini Reuters, Al jazeera, Ap wanahifadhi Hamas, unless unaamini UN ni Hamas, Unless unaamini kanisa la Anglikana ni Hamas huwezi sema Israel Anapiga Hamas, anatarget kabisa raia kimakusudi,
 
Janjaweed, Ile ilikuwa vita kati ya waafrika waislamu weus dhidi ya waarabu weupe, hii ilipelekea tukapata sudani kusini na sudani kaskazini,. Pitia hii vita utaona jinsi dini inavotumika vibaya na Yale mataifa ya mashariki ya kati,, waliuana na hakuna aliyesimama kwa kigezo Cha upendo wa kidini,
 
Uzii mrefu lakini hakuna cha maana ulichoandika
 
Kwanini waliwachukua mateka mpk sasa wanao?
Nani atakuhurumia ikiwa umeenda kuua na kuchukua mateka na bado ubaki nao? Kitendo hichi ndicho kilitangaza vita
Bado unarudia kile kile, nakuuliza kwanini HAMAS wanateka na kuua watu israel?
 
Wapalestina no ndugu zetu katika imaani. Ukitangaza vita na wapalestina ni sawa na umetangaza vita na waislamu wote duniani
 
Kwanza hao palestina washashirikiana na nduli amini kitambo hiyo ili tupigwe. Na bado wameteka raia wetu hapana kwa kweli acha wavune wanachotaka hao hamas
 
Hivi ni kati ya waislam na mayahudi na marafiki wake Cristian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…