sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona dunia itakavyolaani.
Mwenendo wa dunia ishafikia wakati kila mtu anajiamulia kufanya jambo ili kufanikisha kisasi chake .Na mbaya zaidi sasa hivi teknologia imekuwa sana na kusababisha hakuna superpower wa kweli.Hii imejidhihirisha kwa Houth kuweza kuzuia meli zisiende israel ingawaje zipo nchi mbalimbali za ulaya zikimsaidia marekani kutaka meli zipite mediterranean sea bila kupingwa
Dunia ya sasa sio salama haswa ukiangalia marekani aliyekuwa akitetea haki za binadamu amekuwa kinara kutetea mauaji ya israel kwa wapalestine. Mbaya zaidi marekani imedhubutu kumpitisha raisi Trump kama mgombea huku akionesha kutetea kupinga maisha ya watu mfano wapalestine.
Kwa sababu UN imeonekana kupaya sana kuna uwezekano vita ya dunia kutokea sababu kwa zama hizi kuna migogoro inaweza kutokea sababu ishaonekana kawaida kuua maelfu ya watu. Dunia ishaona kawaida warusi na waukraine laki kadhaa wakifa sababu hakuna anayejali maisha.
Misingi ya dunia haifuatwi sasa na hii tuseme kuna siku mabomu ya nyuklia yatatumika. Dunia haina usawa kabisa sababu muisrael kumiliki nyuklia ni sawa lakini muiran kumiliki sio sawa.Kwanini wasiseme tuh hakuna nchi yeyote kumiliki nyuklia duniani .
Ubaguzi, visasi, udini umefanya wazungu kumiliki nyuklia bomb sawa lakini wengine wakimiliki sio sawa.
Na tuseme hakuna superpower duniani sababu teknologia ishakuwa sana kwa kila mtu. Dunia haiamini houth walitengenezaje hypersonic missile. Vita ya 3 inaweza kutokea sababu kila mtu atataka ajioneshe ana nguvu duniani na tushafikia huko.