Dunia ikilinganishwa na maji yake yote

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413
Maji yanachukua takriban 70% ya uso wa dunia. Hata hivyo, bahari hizi ni za kina kifupi ikilinganishwa na ukubwa wa sayari yenyewe.

Na ni 0.5% tu ya maji ya dunia ambayo yanapatikana


hii picha inaonyesha jinsi ambavyo maji yote ya uso wa dunia yangekuwa yakikusanywa katika mpira mmoja. Radius ya mpira huu ingekuwa takriban kilomita 700 tu, chini ya nusu ya radius ya Mwezi wetu.

Soma zaidi: USGS Water Science School
Credit: Hashem Al-ghaili
 
Kwenye freshwater inaongoza Groundwater ndio inakuja rivers & lakes.

Geography Form III
 
Unawezaje kufananisha variables mbili tofauti, surface ya dunia ni area na maji ni volume huwezi kucompare quantitatively hiyo ni assumption
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…