Ugumu wa maisha ndiyo unafanya maisha yawe matamu siku ukipata mafanikio mkuu.Hahaha siyo poa
Unayemwona ni mlevi na kila siku anarudi nyumbani kwake kalewa, ila familia anaiachia mahitaji fresh. Unafikiri wanapenda kulewa? Wengine wanaona bora walewe wakifika ni kulala tu waepuka makelele, hata wikiendi hawakai nyumbani wanatoka mapema.
Wapo ambao wamepatwa na kisukari, vidonda vya tumbo, shinikizo la damu kisa mambo ya nyumbani tu. Hawezi kusema popote sababu wanaume tunaficha mengi sana, msongo wa mawazo kila kukicha unammaliza mtu taratibu.
Wengine wapo kwenye ndoa zao kisa watoto tu wakue vizuri, bila hivyo wangeshaondoka na kushika njia zao. Ila na watoto wakikua nao wanalishwa sumu na kuwaona wao wabaya, tabia ile ya ulevi na kuchelewa kurudi wanawahukumu nayo hawajui kwanini wapo hivyo.
Hata akiishi muda mrefu;
Unakuta anakuja kujistaafia kajitoa hasa kuhakikisha watoto wanasoma na kufikia pazuri ila hakuna anayemjali hata mmoja, sababu washalishwa sumu wao ni mama tu na kumpa msaada. Wakati alibaki na mama yao tu ili wakue tu na alikuwa na chaguo la kuachana nao kisa vitimbi vyake.
Dah tunapitia maumivu makali mnoUnayemwona ni mlevi na kila siku anarudi nyumbani kwake kalewa, ila familia anaiachia mahitaji fresh. Unafikiri wanapenda kulewa? Wengine wanaona bora walewe wakifika ni kulala tu waepuka makelele, hata wikiendi hawakai nyumbani wanatoka mapema.