Dunia ikuchanganye na mwanamke naye akuchanganye !

Mwanzo wakati wa uchumba alikuwa hivyo? Nini kimebadilika?
 
Umegusa penye mshono
Haya ni maisha machungu sana kwetu wanaume, kuna muda mpaka nafikiria ni heri uwe na shughuli ya kukufanya uendelee kuchuma hadi uzeeni. Kulilo ajira ukastaafu na kuja kudhalilika na wanao wanakupa kisogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…