Dunia iliishia 1999

Hilo ndyo tukio kubwa na lakusikitisha lilitokea alafu anakuja mtu amezaliawa miaka ya 2000s na nadharia ya kijinga. Ila syo kosa lao ni kutofaham mambo yaliyotokea miaka ya 90s,
ukiona onaona watu wengine machizi ujue wewe ndio chizi saa,
 
Anything is possible. Siwezi kukataa au kubisha mpaka niliangalie kwa makini sana because i am very open to possibilities. Nizingatie na kujihakikishia kwa upembuzi wa kina.

Lakini kwa manyumbu ya humu yanayojiaminisha kuwa yana akili sana wakati kiuhalisia ni MABUMUNDA YA CHOROKO, ni ngumu kupembua hili swala au kuliwekea viulizo na udadisi.

Manyumbu mengi huwa yanaenda kwa staili ya ufuasi na mkumbo.

Na ndo vile tena unakuta yanazama kwenye kina kirefu na kutafunwa na mamba bila ajizi.

Cc Nyani Ngabu DR Mambo Jambo Extrovert Lamomy mshamba_hachekwi
 
ukiona onaona watu wengine machizi ujue wewe ndio chizi saa,
Wewe kijana uko sahihi sana.

Huenda hili swala lako lina ukweli au kiasi fulani cha ukweli hususani kwenye dhana ya SIMULATION.

This is a deep topic, hauwezi kueleweka kirahisi kwenye kundi la wajinga.

Ni watu wachache tu tulio na upeo na akili tambuzi ndio tunaweza kulitizama hili swala lako katika jicho la udadisi.

Sijasema kwamba tunalikubali hili swala moja kwa moja, ninasema kwamba swala lako linahitaji kumulikwa na jicho la udadisi.

Cc Pascal Mayalla
 
Simulation in the matrix is a very much of a possibility.

Yaani hapa inawezekana tuko kwenye usingizi wa ajabu sana, tumepigwa na kitu kizito isipokuwa baadhi tumeweza kuamka na kuchungulia.

Siwezi kukataa au kukubali, lazima jicho langu lizunguke nyuzi 360 kama bundi ili nijihakikishie kama unachosema kinaweza kuwa na ukweli au angalau kiasi fulani cha ukweli.

cc Nyani Ngabu DR Mambo Jambo mshamba_hachekwi
 
Hahaha The Matrix Sio
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii nayo kali sasa
 
Hii topic ni nzito mno.

Sasa hawa vikaragosi wanaojadili papuchi 24hrs sitarajii waweze kuelewa uzito wa hii hoja au kuelewa kabisa hoja yote kwa ujumla wake.

Ni wateule wachache tu ndio tunaweza kuliona hili swala kwa kutumia mboni yenye upeo wa juu sana.

Hii simulation ni powerful program, ukifanikiwa kuamka kwenye huu usingizi basi wewe ni bingwa kweli kweli.

It is a DEATH TRAP.
 
Wizo kwann unatag ex, mchepuko na mumeo kwa wakati mmoja, halafu unitag na wifiyo ili nione madhambi yako 🀣🀣🀣🀣
 

Mtu anakuona mwehu kuamini hii conspiracy ila. Yeye anaamini supernatural power πŸ˜‚πŸ˜‚.

Utofauti wa simulizi za kupasua maji ya bahari na hizi nyingi zina tofauti gani??
 
Bangi ni mbaya sana wajameni khaaaa!.
Enewei naitwa, Machepele wa Tanzania.
 
Kuna mtu alikua mvutaji kama wewe. Sahizi anafungiwa ndani analia kama mbwa daily.
 
kwanza hakuna bom la nuclear linaweza kuhalibu 98% ya dunia.!πŸ˜‚πŸ˜‚ jambo lapili are you crazy πŸ˜‚.!? jambo la 3. what did you feel.?πŸ˜‚ Jambo la4 acha bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…