Dunia iliishia 1999

Dunia iliishia 1999

Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo

December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.

Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
aah wapi! sio mm
 
small minded
Hawa hata usiwajibu, wala hata usiwe unawaletea mada za aina hii.

Akili zao bado zimegandamana na usingizi mzito sana utawalaumu bure.

Hawa waletee mada za papuchi, umbea na mpira. Hapo mtaenda nao sambamba mpaka utadata.

Haswa haswa umbea alooooo wanapagawa wanaachama midomo kwa utamu kama mazombi.

Huu ni mtego wa kifo, only the few chosen will decode the matrix and transcend above it.

Na sio hawa vikaragosi.

Cc: Lamomy
 
Wizo mmeo karudi umemuona?? 😂😂😂
Umbea fo life mtajiju wizo na huyo boyfriend wako
 
😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 nimemuonaaaa tuko nae hapa nampa masaji ya mgongo alikuwa safari jamani huko nyikanii, amerudi na upwiruuuu leooo mimba naiona laivuuu 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 wizo mbavu zinaniuma mwenzio
Hebu muite nimsalimie shem
 
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo

December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.

Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
1999 hilo bomu lilipuliwa kutokea wapi? Shida ya kuangalia science fiction kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom