Dunia iliishia 1999

Dunia iliishia 1999

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oooooooh
Kweli tunajuana..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na mii nimuone unaye muita shem
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
🀣🀣🀣🀣 kumbe humjui?? Pole wee!
Ana mwanaume mzuri hafu wa nguvu
 
Serikali iongeze nguvu kwenye boda zetu skanka isiingie, na mashamba ya bangi yaangamizwe popote, huu uzi wako bila shaka ni matokeo ya bange.
 
Mi ninaye umechelewa kumjua anaitwa mwamba wa kaskazini πŸ€­πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.weeeeh acha basi...
Leo ndio nimemjua aiseeeee
 
Haya ma movie yanawaathiri sana. Umetoka kutazama matrix ndio unskuja mbio mbio hapa
 
Kuna wafuatiliaji wa Movie za Science Fiction Sci Fi
Kuna wfuatliqji wa story zile za EFM
Na kuna hawa conspiracy theories

Wewe unafuatlia vyote .. unaupa kazi sana ubongo kuimagine vitu vya kufikirika
 
Back
Top Bottom