Dunia ilipofikia ushindani ni mkubwa sana

Unauhakika na uliachoandika, Copy nilipoandika hivyo then paste hapa.
Sina haja ya kutafuta content zako ila kuna siku ulisema una wazo la biashara konki.Unaliuza kwa 70K na ukipata hiyo hela utaipeleka kwenye project yako huko ambayo hukutaka kuiweka wazi maana watu wangeiba wazo,sijui nakusingizia?
 
Sikupata Boss.
 
Mkuu Uzi wako Ni hakika una ukweli 100% na unafurahisha
 
Back
Top Bottom