Dunia ilivyojaa unafiki wanaojifanya wanamsapoti Tundu Lissu na kumdhihaki anapowaita kwenye maandamano!

Wala Watanzania hawayajayagomea maandamano ila maandamo yalizuiwa na vyombo vya dola kwahiyo uwezi kutoa tathimini yoyote ya maandamano ktk muktadha huo. Watu bado wanaiheshimu na kuitii serikali iliyopo madarakani hatakama hawaipendi kwani inamandate zote za hatima ya maisha yao, watu bado wanaitaji kuishi ili wapate njia nzuri na madhubuti za kufanikisha yale wanayo yataka. Kwahiyo kutojitokeza watu tarehe 23 siyo kuwa Watu waliipuuza CDM ila watu waliitii dola kwa mutadha mzima wa maisha yao na ndivyo watakavyo kuwa hivyo mpaka watakapo ona kuwa hakuna njia nyingine yoyote, ikifika hivyo hawatamsikiliza Mbowe wala Nani.
 
sawa zipo njia nyingi za utetezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…