Dunia imebadilika sasa hivi mtu mwembamba ndio mwenye afya!

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
545
Reaction score
1,179
Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe.

Kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
 
Kuna wakati wadada wanene kama hawa walionekana mzigo na kuwa stereotyped ila hawa leo ndio wanaweza sababisha baba yako akafirisika na pension aliopata🤣🤣 na mkaamia nyumba ya makuti
Screenshot_20250412-160416.png
 
Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
Hiyo ni tangu kale.Ungetueleza kwamba,watu wameujua ukweli halisi.
 
Ila nyuzi za Leo bhana 😅

Sijui ni kwa vile CHADEMA kimewalamba
 
Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe.

Kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
Ushahidi uko wapi kuonesha zamani watu waliamini mtu mwembamba ni mgonjwa? Au umeandika hisia zako na maoni yako binafsi tu?
 
Zamani mwembamba alikua na ukimwi saizi mwenye ukimwi ndo mnene
 
binafsi nikumuona tipwa tipwa au tunkunyema kimoyo moyo ha nasema huyu sukari inamtafuna, mixer high BO
 
Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe.

Kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
Ukitaka kuamini mkute mtu mnene akipigwa kisukari au bp
 
Mtu ukinenepa watu wanaanza kukuogopa ukitupa ndani mahali yaani aya mambo mtihani.zamani ukipungua ukatupa ndoano mahali watu wanakutolea nje wanakuogopa
 
Back
Top Bottom