Hiyo ni tangu kale.Ungetueleza kwamba,watu wameujua ukweli halisi.Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
Naona unabadili tu hizo picha my π π π, unazo nyingi eenhe???Kuna wakati wadada wanene kama hawa walionekana mzigo na kuwa stereotyped ila hawa leo ndio wanaweza sababisha baba yako akafirisika na pension aliopataπ€£π€£
View attachment 3301573
Nimekosea nikaweka ya shangazi yangu mmoja alie South Afrπ€£Naona unabadili tu hizo picha my π π π, unazo nyingi eenhe???
Mimi kama haya ni matope basi mimi ni KAMBALEKuna wakati wadada wanene kama hawa walionekana mzigo na kuwa stereotyped ila hawa leo ndio wanaweza sababisha baba yako akafirisika na pension aliopataπ€£π€£ na mkaamia nyumba ya makuti
View attachment 3301573
Mshangazi dot com ebu okoa huyu kijana π€£π€£Mimi kama haya ni matope basi mimi ni KAMBALE
Ushahidi uko wapi kuonesha zamani watu waliamini mtu mwembamba ni mgonjwa? Au umeandika hisia zako na maoni yako binafsi tu?Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe.
Kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
There is nothing sexier than a full bodied 8-figure black woman ππππKuna wakati wadada wanene kama hawa walionekana mzigo na kuwa stereotyped ila hawa leo ndio wanaweza sababisha baba yako akafirisika na pension aliopataπ€£π€£ na mkaamia nyumba ya makuti
View attachment 3301573
twende ote gym ntakuwa nakubebea begiSisi matipwa tipwa ngoja tukae kwa kutulia.
Hata mimi nahangaika kupungua niwe kimodo, unene siyo afya π π π
Ukitaka kuamini mkute mtu mnene akipigwa kisukari au bpNakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe.
Kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure mgonjwa kanenepa ghafla atakuwa tayali mgonjwa
Sawa my, ofa nimeipokea, tuanze jumatatu basi!twende ote gym ntakuwa nakubebea begi
Ole wako unisaliti π‘Sawa my, ofa nimeipokea, tuanze jumatatu basi!
Ndio, jumatatu jioni itapendeza.Sawa my, ofa nimeipokea, tuanze jumatatu basi!