Dunia imefika mwisho, Sayari ya Nibiru inadaiwa kuikaribia Dunia

Meanwhile hiyo sayari ni kubwa kuliko dunia kiasi kwamba ni ngumu ku survive

Ebu chukulia mfano wa yai

Ukiangusha simtank la litre 20,000 lenye maji kwenye yai, kutakua kuna upande wa yai ambao utakua umesalia?
Sasa nimepata concept yao kwa maana kutatokea disintegration kubwa sana.

Concept nimeipata mkuu
 

ni wajinga pekee ndio watakaokubaliana na hadithi yako ya kusadikika
 
NDIO MAANA WALE KINA ELON MUSK WANAJITAHIDI KUTAFUTA MAISHA SAYARI NYINGINE KWA KASI YA AJABU
 
Kuna watu wanadai Aina hio ya tukio ni uzushi au uongo

Whether habari ya Planet X ni ime base kwenye science au conspiracy (naamini hapa) possibility ya Binadam kutoweka baada ya kwa case ya namna hio ipo

Binadam huwa tunajiona wa special lakini kiuhalisia hatuna u special wowote

Huu ulimwengu ni wa kikatili, mnajua Dinosaurs kiliwapata nini

Kama itatokea siku ya namna hio, huu ni mwisho wetu
Tutapisha evolution ya jamii nyingine ya viumbe inawezekana better than us
 
Walokole,
Msituletee habari za kibwetele na wafuasi wake.

Mwisho wa DUNIA Ni kifo chako, Maisha yanaendelea[emoji3525]
 
Nikko la 3 nasikia hii story mpaka leo uni jiwe haliifik tu😅😅😂
 
Habari iliandikwa kipindi Pluto ikiwa sayari.
 
Kwani ikifika kuna mtu anaidai dunia lolote? [emoji23][emoji23]
Mwisho wa Dunia ni pale tu mtu unapokufa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…