KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Tufe kisa tozo..š¤£Kwa hizi tozo za miamala ya simu nitapendezwa Hilo Jiwe liongeze spidi ya 2000,000,000 km per second lifike haraka maana Mwigulu nchemba anatuchezea akili!
Nadanganya wadau likifika ndio uwe mwisho wa CCM!