Dunia imefika mwisho, Sayari ya Nibiru inadaiwa kuikaribia Dunia

Mtu anaejua basic astronomy ya darasa la5 atajua Huu Ni utumbo kiwango cha kutoliwa Na binadamu...chakula cha Kuku/nguruwe hiki
 
Hizi ni harakati zile zile za wapuuzi hawa walioleta Corona nia ikiwa kuwaletea watu hofu.This is heresy of the highest order.Ndio dunia as we know it will come to end as God restores His rule on earth as he had desired,lakini sio kwenye fasion he.How God will decide the fate of the World we live in is described in the books of Revelation and 1Petre,kasome, msituletee hadithi za Abunuasi hapa.
 
Kwa hizi tozo za miamala ya simu nitapendezwa Hilo Jiwe liongeze spidi ya 2000,000,000 km per second lifike haraka maana Mwigulu nchemba anatuchezea akili!


Nadanganya wadau likifika ndio uwe mwisho wa CCM!
 
Hivi pikipiki ikiwa inaendeshwa taratibu, halafu ikapamiwa na gari linaloendeshwa kwa kasi, je kipi kitapata madhara makubwa?
 
...Huwa wanadai kuwa Kitu kikiipiga dunia hata kama ni Upande Mmoja kinatifua vumbi kuwa ambalo linaweza kuliziba jua lisionekane duniani kwa miezi kadhaa hali itakayohatarisha Uhai wa viumbe wengi kwa kukosa joto la jua kwa miezi hiyo...
 
...Habari ya Kufikirika. Umetumia Kauli za Kawaida za Viongozi wa Dini wanazotumia kila siku za kuwaasa waumini wao kuacha dhambi na kumcha Mungu kwani mwisho unakaribia.
Haya ni maneno ya kawaida ya Viongozi wetu wa Dini. Hayahusiani kabisa na Nibiru.
Kuyatumia kwenye taarifa ya yako ni kutaka tu kusisimua taarifa yako kwa jambo ambalo halina ukweli.

Taarifa za hii Nibiru kuigonga dunia zimeishatolewa mara nyingi kama ambavyo muandishi mwenyewe ameonyesha hapo na hakuna kilichotokea!

Ama hao Nasa wenyewe hawajui kupiga mahesabu ama wanabatisha tu. Tuliambiwa nibiru itaigonga dunia kwa nyakati Tatu tofauti zinazopishana kwa miaka mingi lakini hakuna kilichotokea! Kwa nini habari hii isichukuliwe kama hadithi ya kusisimua tu jamii!

Mleta habari pia ametaka kulisisimua kupita kiwango tukio la kupatwa na jua septemba mosi na kutaka kulifanya ni jambo la ajabu sana linalohusiana na nibiru!

Mwaka 1976 ama 77 jua lilipatwa asubuhi na sehemu moja ya Nchi ya Tanzani ikswa giza kwa dakika mbili kuanzia kisiwa kidogo kilicho kanfo kidogo ya Zanzibar ambalo tukio hilo lilionekana vyema na viongozi wote wa ngazi za juu wa taifa wakiongozwa na Mwalimu Nyerere wakahudhuria pale.
Dakika mbili tu likawa limeisha na kila mtu kushika hamsini zake.
Kupatwa kwa jua ama mwezi ni jambo la kawaida tu kwenye mfumo wetu wa anga na halipaswi kuunganishwa na Sayari ya Nibiru.
Inatia shaka habari hiyo hiyo inapoanza kwa kudai kwa Uhakika kabisa kwamba kuna sayari ya Nibiru ipo njiani kuigonga duniani...halafu habari hiyo hiyo mwishoni inasema ISIPOIGONGA kutatokea hiki na kile![emoji16]
Itakuwa Vema mdau aliyeibandika humu atujulishe hii habari ni ya Mwaka gani.
Halaku kutoka gazeti la Uwazi???
Hivi Uwazi bado linachechemea??[emoji16]
 
Source ya story yako ndio shida...
 
Reactions: Ame
porojo
 
Kwani IGP SILO anasemaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…