Dunia imefikia mwisho wake!!

Itawagonga wao huko huko wanaoichungulia sie huku wala haitafika kwa uwezo wa mungu.

Ina maana tokea mwaka 1982 hadi Leo haijagonga hata nyota moja nyenyewe ni kuitafuta dunia tu?

Na kama dunia (sayari ) hulizunguka jua na kujizunguzwa kwenye mhimili wake je hiyo sayari yenyewe hailizunguki jua? Na je yenyewe haina mhimili kama sayari zote na nyota zina mihimili vipi hiyo nibiru
 
mi mwenyewe nashangaa, sayar zote zimepitwa inamana hii nibiru inaisakama dunia tu iigonge jaman.
 
Harafu tunaambiwa kuwa "katika kuitafiti sayari hiyo, wanasayansi wamegundua kuwa huingiliana na mzunguko wa jua (solar system) kila baada ya miaka 3600 eti jambo linaloonesha wazi kuwa baada ya kutokea sayari hii, hakuna kizazi kilicho hai sasa kitakachokuwepo tena.

Hivi kwa akili ya kawaida ni nani humu ndani atakuwepo baada ya miaka 3600 mbona watu wanapenda kutiana hofu sana.

Naimani mungu yuu pamoja nasi yatawafika wao pekee sie huku kwa uwezo wa mungu tutaendelea kuwasikiliza na kuwaona kwenye television na mitandao. Ndio kama tunavyoona tsunami na vimbunga vya ajabu ajabu pengine joto linapanda na kusababisha watu kufa.

Mwenyezi mungu aendelee kutulinda na kutuepushia mabala yao hayo
 
ni dakika au masaa ma3?
 
Eti watalii wameanza kuingia Mbeya!!! Wazee wa nondo mnawaita watalii?
 
Kumbe source ni NASA teh teh hao ni vilaza
NASA wapi?

Una link yoyote inayoonyesha NASA ndio wamethibitisha uwepo wa hio sayari

Nibiru cataclysm is fictitious apocalypse,
It's merely whimsical idea of conspiracy theorists

Hakuna ushaidi wowote wa kisayansi unao support uwepo wa hio sayari

Kwanza watu wangejua sayari zinavyozaliwa,wangepuuza huu uongo!

Hakuna sayari inayo zurula hovyo,sayari zote zinazunguka nyota zao
 
Hawa jamaa wanao zusha huu uongo ni wabahatishaji tu

Walisema hili tukio litatokea 2003,2003 ikapita

Wakasema itakuwa 2012,nao ukapita

So,they just kick ball towards the wall till it sticks
 
Ili kuondokan na hofu tujiulize kabla ya uwepo wetu duniani tulikuwa wapi na je uhai au roho tulizonazo zimetokea wapi na ni nani anayeziongoza je tunaweza kuuongiza uhai na uwepo wetu au uwepo wetu n uhai wetu ndiyo unaotuongoza huku wenyewe ukiongozwa?..... Mhofu Mungu utapata marifa
 
Yan roman catholic ni free masonry wakubwa sana..wanaujua kweli kabsa....illuminant wanaiongoza vatcan yote...tena papa wanaomwita baba mtakatifu ndo illuminant mkubwa ...dunia itatawaliwa na falme 4 ambayo ya kwanza ni wababali na ya mwisho ni warumi(ROMAN)...yan wale illuminant wanazalisha matatizo nakimfanaya mwanadamu amwabud shetani huyo huyovkutatua matatizo yake....so mim binafs namin kuwa mwisho qa dunia upovlakin mpaka maandiko yatimie ..kuna mambo mengi sana yamezungumzwa kwenye kitabu cha ufunuo na daniel lakin bado hayatimia bado...kwa hiyo we are atill in a battle with satarn....mpaka watu wamkane mungu kwanza na kujikabidhi kamili kwa shetan ndo mungu atashisha gadhabu yake kwa wanadamu wake....so still hav more to think these thongs ....
 
Mafundiaho ya bi helen au .....
 
Mafundiaho ya bi helen au .....
Hapana siyo Ellen G aliyesema tu hayo hata waliopo vatcan wanadhibitisha kuwa roman catholic worshio under devil's power....that true...
Kwa hiyo mim binafs sayings za viongoz kama cjui et akana mhashamu baba askofuuu mmmmmh...i don beliv....kwa hiyo mwisho wa dunia upo na kanisa katorik ndo mtekelezaji mkubwa wa hay yote under US gvnmnt...
 
Bora kije tu hata sasa hivi kitugonge manake maisha yenyewe haya yashatupiga picha.
 
Nmejifunza mengi kweny hli swala
 
nikifkiria deni linalonitoa kamasi hapa chuo mixa na matatizo mengine naona kama Hiyo niBiru Inachelewa:. bora ije Tuanze Upya!!
BANGO
 
Tunajua kabisa dunia yetu ipo katika orbit yake kulizunguka jua..

Napenda kujua hyo Nibiru inatokea uelekeo upi labda juu ya dunia, chini yake au wapi?

Je ikiwa dunia inazunguka hiyo nibiru nayo inazunguka? Kwa speed ipi maana si sehemu ya solar system
 
huenda wakawa ni viumbe wanapondana angani...
hilo li nibiru limekwepwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…