Dunia imefikia mwisho wake!!

Dunia imefikia mwisho wake!!

Nakumbuka kuna hadith ya Mtume Muhammad(s.a.w)inasema;Zitatokea nyota zenye mikia.
 
Mnavyo changia mmeiharibu kabisa na mada yenyewe ,kama Mimi 'kilaza' nimekosa kabisa point za kisayansi...mpaka mmenipoteza.🙄
 
Utakufa wewe dunia utaiacha ikiendelea kuzunguka katika mhimili wake bila hofu.
 
WatakufA wazungu tuu
Mkuu hii taarifa si nzuri kwa mzee LOWASSA kabisaaaaaaa, maana ndoto zake za kwenda pale kwenye upepo wa 😛bahari huku akihesabu idadi ya meli zinazosubiri kupakua Mali itakuwa imefutika rasmi teh teh teh😛😛😛
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa sisi hiyo story inatuhusu vipi?
Kwanza nimeanza kuzisikia habari hizo tangu mwaka 1993 kuwa kuna lisayari linakuja kuipiga dunia hadi leo story ni hiyo hiyo.
Ndiyo maana napata hisia kuwa hiyo story wala haituhusu sisi.
 
Mbona mnatupa hofu wakati maisha ndio yanataka kuwa mazuri
 
Sasa sisi hiyo story inatuhusu vipi?
Kwanza nimeanza kuzisikia habari hizo tangu mwaka 1993 kuwa kuna lisayari linakuja kuipiga dunia hadi leo story ni hiyo hiyo.
Ndiyo maana napata hisia kuwa hiyo story wala haituhusu sisi.
tusipinge sana hata wakati wa nuhu watu walibisha hivyo mm naogopa
 
Wacha ije.. itapiga canada na kuisambaratisha America, huo ndio utakua mwisho wa dola ya America na trump wao..

Dunia itabaki salama
 
Mkuu hii taarifa si nzuri kwa mzee LOWASSA kabisaaaaaaa, maana ndoto zake za kwenda pale kwenye upepo wa 😛bahari huku akihesabu idadi ya meli zinazosubiri kupakua Mali itakuwa imefutika rasmi teh teh teh😛😛😛
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji5] [emoji5]
 
Back
Top Bottom