Dunia imefikia mwisho wake!!

Roman Catholic na Papa wameingiaje kwenye mada hii? Unaweza kuthibitisha ulichokisema hapa? Pathetic poor minded!
 
Wangeitungua mapema kabla haijaleta madhara,wao wanasema wanasilaha za hatari .maandiko yanatimia
 
Hawa wanasayansi watahangaika sana hizo probability zao.Mwisho wa dunia bado sana,hizo ni dalili zake tu.Na hiyo siku hakuna aijuae isipokua yule mwenye Ufalme wa mbinguni na ardhini.
 
bora tu idondoke makufuli ana tuzingua tu.. tukifa wote si mnajua kama kawaida kuna maisha mapya haya tunayo ishi nikama ndoto tupo tumelala tukija kuamka ndio kufa kwenyewe na kuishi maisha mengine.?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dunia tambara bovu tu na itasambaratika
 
Hicho kipande baada ya kuikosa dunia kimeelekea wapi?
 
msipende kutangaza viyama yatawakuta yaliyomkuta sheh yahaya. kiyama kinakukumba wewe mwenyewe
 
Si walitabiri mwaka 2000 ni mwisho wa dunia. Mbona bado tupo tunahangaika na bei ya sukari. 😎
 
Hapo zile propaganda zao za " the planet izi veryy proximity magnetic coil.so iti izo moving to ethi magnetic field combination.." Tutapigiwa hesabu na mboyoyo mpaka tuingie kingi.. Mwez wa 9 huko co mbal... Also hiyo 2017 tumuombe Mungu kwa imani zetu tufike tuione hiyo nibiru...
 
Ila ngoja tu ije maana sukari imegoma kushuka bei..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…