Dunia imefikia mwisho wake!!

pOROJO
 
PICHA ZA KUUNDWA HIZO!!!
namkumbuka yule mmarekani aliyewakusanya WENZIE WAKAENDA SEHEMU KUSUBIRI YESU ASHUKE HAHAHAHA WALIISHIA KUPATA STRESS NA YULE MZEE KULAZWA HOSP... KAMA IMEFIKA MWISHO SAWA KWASABABU ,WE CANT GO AGAINST NATURE .... HAINA HAJA YA KUOIGOPA
HAKUNA NAMNA
 
namkumbuka yule mmarekani aliyewakusanya WENZIE WAKAENDA SEHEMU KUSUBIRI YESU ASHUKE HAHAHAHA WALIISHIA KUPATA STRESS NA YULE MZEE KULAZWA HOSP KAMA IMEFIKA MWISHO SAWA KWASABABU WE CANT GO AGAINST NATURE .... HAINA HAJA YA KUOIGOPA HAKUNA NAMNA
UKO SAHIHI.HATUWEZI KUZUIA LOLOTE KAMA TUSIVYOWEZA KUZUIA KIFO. ICHA IJIFIE!!!
 
YEP WALA HAINA HAJA YA KUUMIZA KICHWA LET IT COME
ILA HIYO PICHA ILIYOWEKWA HAPO NAHISI NI YA KUUNDWA!!UNAJUA KUNA HADITHI ZA MITANDAO ZENYE LENGO LA KU-ACTIVATE MTANDAO ILI WENYEWE WAUZE. MFANO KUNA SMS ZA MISTARI YA BIBLE UNAWEZA TUMIWA UAMBIWE JAMA NI MUUMINI SAMBAZA SMS HII KWA WATU 10 UPOKEE MUUJIZA WAKO!! ILE IPO KIUCHUMI ZAIDI!!
 
Ngoja na mimi niwahi Mbarali nikawe kama mtalii
 
Dunia isifike mwisho bwana, isubiri JPM ajenge viwanda kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…