Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Hivi man u ni wa kumfunga psg nyumbani tena 3-1 dunia simama nishuke mimi maana ntaona mambo ya ajabu sana[emoji124][emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UhakikaKwenye avatar n wewe?
.
Nasubir majibuUtoto raha sana,
Shule mnafungua lini?
Bora Yanga tunachangishana nje kuliko mnaochangishana ndani, we unamjua mwanachama yeyote wa mikia mwenye hisa Simba? Au mnachangishana na kuchota Pesa kama tulivyokuwa na ManjiKama Yanga anaongoza ligi kwa bakuli unashangaa nini kwa Man kumtoa PSG
Mkuu...wapi nimetaja Simba hapo? au wapi nimelinganisha Simba na Yanga?Bora Yanga tunachangishana nje kuliko mnaochangishana ndani, we unamjua mwanachama yeyote wa mikia mwenye hisa Simba? Au mnachangishana na kuchota Pesa kama tulivyokuwa na Manji
Vaa miwani ya mbao utaona,bila ivyo huwezi kuona wala kuelewaMkuu...wapi nimetaja Simba hapo? au wapi nimelinganisha Simba na Yanga?
Kwa msaada hapo nimetaja Man U...PSG na Yanga.
Sasa hilo LA Simba wewe umelitoa wapi au unataka kunilisha maneno?
Vaa miwani ya mbao utaona,bila ivyo huwezi kuona wala kuelewa
Vaa miwani ya mbao utaona,bila ivyo huwezi kuona wala kuelewa
Yaani we unaelewa nilichoandika kuliko niliyeandika na unataka unieleweshe niliyeandika nilichoandika.Vaa miwani ya mbao utaona,bila ivyo huwezi kuona wala kuelewa
Kama Yanga anaongoza ligi kwa bakuli unashangaa nini kwa Man kumtoa PSG
Soma juu hapo ulichoandikaYaani we unaelewa nilichoandika kuliko niliyeandika na unataka unieleweshe niliyeandika nilichoandika.
Jifanyie tathmini Mkuu utakua Genius sana.
Kuna neno Simba hapo Mkuu?Soma juu hapo ulichoandika
Huo msemo wako *dunia simama nishuke kama mmama amemfumania mumewe na binti wa form 1Hivi man u ni wa kumfunga psg nyumbani tena 3-1 dunia simama nishuke mimi maana ntaona mambo ya ajabu sana[emoji124][emoji124][emoji124]
Umeshinda weweKuna neno Simba hapo Mkuu?
Mi naona Yanga..Man na PSG kama nimeandika Simba hapo mi sioni...Kwaheri
hatareee.Nasubir majibu
Anautoa wap mda wa kusema ivo?Huo msemo wako *dunia simama nishuke kama mmama amemfumania mumewe na binti wa form 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae mkuu ndo sokaHivi man u ni wa kumfunga psg nyumbani tena 3-1 dunia simama nishuke mimi maana ntaona mambo ya ajabu sana[emoji124][emoji124][emoji124]
Usishangae mkuu ndo soka
Mpira hautabiriki hayo yapo enzi na enzi
Nadhan PSG walijiamin sana