matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Inafikirisha.Jibu linaweza kuwa rahisi tu kuwa hayo mengine siyo kwamba hayaendelei yanaendelea vizuri ila tu habari kubwa itakuwa ni hbr za corona hizo nyingine hazipati nafasi kubwa kihivyo maana hbr itakayokuwa inauza ni corona tu
ukiambiwa kuna watu wanaendesha dunia ue unaelewa.wanaamua habari ipi itoke.ipi isitoke.kwangu.EBOLA.ilikuwa tishio kuliko hii coronya.Inafikirisha.
Siku hizi Mimi hakuna kitu ninachoangalia kwa makini kama habari. Nyingi huko duniani nimegundua sio habari ni kama vile mind programming tu. Tunaelekezwa
Tupende nini
Tuchukue nini
Tufanye nini
Tusifanye nini
Inafikirisha.

Hao jamaa sio mazuri, kuna kipindi walituaninisha mwenye ndevu nyingi ni gaidi. Yaani hadi akikukaribia unamskani kanzu uone asijekuwa na RPG ndani.Iyo ndo kazi ya mabeberu.kueneza propaganda. zao kufikia malengo yao.wanayotaka maana corona nikama maralia tu.kwetu kufa sio sana.wanaipa promoted ionekane tishio ili tununue chanjo.zao.wapige ela kuusu swala LA vita kupungua wao ndo wanaouza sirahaa sasa wametulia.wapige mchongo wa chajo.
HahahaNaona nzige wa SIHA wanatafuta kiki nao.

Hapana mi nahisi hili wenda hata BINADAMU hahusiki nalo kabisa.Ni ngumu kuwahudumia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hao halopigwa sana na Coronavirus ndo hao wanao operate ugaidi huku middle east na kwengineko,
Ebola bado ipo na imechachamaa tena Congoukiambiwa kuna watu wanaendesha dunia ue unaelewa.wanaamua habari ipi itoke.ipi isitoke.kwangu.EBOLA.ilikuwa tishio kuliko hii coronya.
Haiwezekani ikitokea janga moja mengine yote yanasimama kusubiri utadhani wanaambiana.
Mfano:
Ilupotokea Corona, sijasikia ugaidi, vita vya Syria, sijui Boko haramu wala njaa duniani.
Ilipokuwa anapigwa sadamu ana Osama na Mullar Omari wanasakwa mambo mengine yote hayakusikika hadi hilo tulilopangiwa kufikiri, kutafakari liishe.
Sasa tuwe wakweli. Kwa jinsi magaidi tunavyoaminishwa ni watata nani amewaambia wasikilizie kwanza hadi upepo wa Covid upite. Hizi kumbe huwa ni Sanaa za kimataifa. Hata Boko haram hawasikiki kabisa. Utadhani dunia inatimetable ya nini tusikie na kwa wakati gani.
Hata kwetu Tangu kadudu kalipokuwa imported na kukatimua kwa maombi na baadae shetani kukapenyeza kiaina japo tutakavyekelea mbali kwa dua tena soon.
1: Hakuna habari za kipindupindu, wakati zamani kila mwaka utasikia kuna kambi kwa mnyamani Buguruni.
2: Hakuna wasiojulikana.
3: Ajali za kuua watu wengi kwa mkupua hazipo.
4: Mafisadi na watu wa kutumbuliwa hawaonekani.
5: Mafuriko huko MTO mkondoa Kilosa hayasikiki.
6: Hakuna vita sijui vya wamasai na wakulima.
Najaribu kuwaza ni Mungu anatuepushia matatizo yasibebane au kuna jamaa wanaremoti wanatupangia sisi darasa la nne tusiojua kufikiri vya kufikiri na nini tusikilize kwa wakati gani.

Kama soko la silaha lipo why wasituuzie.Umewaona Jamii iliyostaarabika inapigana hovyo kama mahayawani.Mbona wazungu awapigani hawauani hovyo kama weusi.Iyo ndo kazi ya mabeberu.kueneza propaganda. zao kufikia malengo yao.wanayotaka maana corona nikama maralia tu.kwetu kufa sio sana.wanaipa promoted ionekane tishio ili tununue chanjo.zao.wapige ela kuusu swala LA vita kupungua wao ndo wanaouza sirahaa sasa wametulia.wapige mchongo wa chajo.