Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Mkuu Dunia haina tatizo ipo vizuri kabisa inajizungusha kwenye muhimili wake na inalizunguka jua kama kawaida tatizo ni wakazi waliopo juu yake wanaoitwa watu wanasumbua sana na ndiyo wanaopelekeshana kiasi cha kuchanganyukiwa na kufikiri Dunia ndiyo inayowapelekapeleka.
.....katika kitu ambacho Wanadamu wanahitaji sana wakati huu ni inner engineering..
.....katika kitu ambacho Wanadamu wanahitaji sana wakati huu ni inner engineering..