Dunia ina mambo ya ajabu sana. Naanza kuamini kuna watu wanaiendesha

Mwaka 2020 Kulikuwa na moto mkubwa Australia,uliua watu kama 500.
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine.
 
Mwaka 2020 kuliluwa na maandamano makubwa na sehemu nyingine hata vurugu kwa ajili ya kudai haki za watu weusi nchini Marekani.Black lives matter.
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine.
 
Hufahamu kinachoendelea Kaskazini mwa Msumbiji mpakani na Mtwara?
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine.
 
Hata askari japo ana bunduki na anakwenda vitani lakini huogopa kifo
 
Mwezi wa nne mwaka jana Kibiti ajali mbaya sana iliua takribani watu 18,.na kujeruhi wengine wengi.
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine
 
Mwezi wa nne mwaka jana Kibiti ajali mbaya sana iliua takribani watu 18,.na kujeruhi wengine wengi.
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine.
Endelea boss......
 
September na October mwaka jana watu takriban 40 waliuwa kwa mashambulizi ya kigaidi ya kujitoa mhanga yakilenga kumuua makamu wa Rais na lingine shambulizi dhidi ya shule.
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake hizi habari nyingine hutazisikia.
 
Mwaka jana ulianza kwa mafuriko ya January yaliyosababisha vifo Lindi na mengine yaliyoleta shida kubwa za usafiri Dar. Gwajima alitumia mafuriko kisanii dhidi ya mdee kama karata yake ya kumpeleka bungeni.
Wewe ulikuwa wapi wakati haya yote yanatokea?
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine.
 
Hufahamu kinachoendelea Kaskazini mwa Msumbiji mpakani na Mtwara?
Ukiamua kufuatilia habari za Corona peke yake huwezi kuzisikia hizo habari nyingine.
Kwa niaba ya michango yako yote.
Lawama hizo uvipe Vyombo vya habari sio Mimi. Mfano unatoa details za mambo ya kaskazini mwa msumbiji Mara makamu wa rais lakini hakuna chombo kilichotoa hizo details.

Huu ndio msingi wa hoja. Tunaoangiwa cha kusikia na sio cha kusikia. Hasahasa katika level ya dunia.
 
Jibu linaweza kuwa rahisi tu kuwa hayo mengine siyo kwamba hayaendelei yanaendelea vizuri ila tu habari kubwa itakuwa ni hbr za corona hizo nyingine hazipati nafasi kubwa kihivyo maana hbr itakayokuwa inauza ni corona tu
Kwa lugha rahisi siyo kwamba Harmonize na Kajala ndio wameanzisha mahusiano hivi karibuni.

Kuna watu wengi tu lakini hawapewi spotlight.
 
Msemaji mkuu wa serikali amesemaje kuhusu Hawa nzige?
Au bado hajatoa tamko
Wabadilishwe kuwa Chakula cha taifa. Wajasiliamali wazamie huko wawatege tutafune nzige tuendelee na mambo mengine.

Hao wadudu wanavitamins balaa. Hata kwenye bible kuna jamaa alikuwa anawala hao kwa kuambiwa na Mungu
 
Ni ngumu kuwahudumia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hao halopigwa sana na Coronavirus ndo hao wanao operate ugaidi huku middle east na kwengineko,
Kwa hiyo hawawezi kumultitask
Hahaha
 
Unafikiri mimi niliziona habari? kupitia runinga za waganga wa jadi?
BBC, VOA na DW wameripoti sana hali ya ugaidi Kaskazini mwa msumbiji.Tatizo lenu wengi mnasikiliza zaidi wasafi media habari za mama Diamond.
 
Corona ni pandemic,ina athari Dunia nzima,licha cha kuua watu pia imeleta majanga kwenye uchumi wa Dunia,ndio maana imetumika nguvu kubwa kupata Vaccine na inatumika nguvu kubwa kuuelimisha umma ili Dunia irudi katika maisha yake ya kawaida,hayo mambo mengine sio kwamba hayapo,yapo bali yamezidiwa uzito na gonjwa la Corona.
 
Wewe unafuatilia habari za Paula na Rayvanny,sijui Hamonize na Kajala,saa ngapi utazisikia World events zinazotokea? Mtu hujua habari za kile akifuatiliacho.
 
Kila janga linalokuja/ kutokea/kuletwa ni fulsa kwa watu makini na kutengeneza pesa na kuwa mabilionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…