Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Mtoa mada kshindwa kutumia hii akili kabisa aisee.dah..yaan kashindwa kuwaza kabisaJibu linaweza kuwa rahisi tu kuwa hayo mengine siyo kwamba hayaendelei yanaendelea vizuri ila tu habari kubwa itakuwa ni hbr za corona hizo nyingine hazipati nafasi kubwa kihivyo maana hbr itakayokuwa inauza ni corona tu
Umeisikia habari ya watoto wa kike zaidi ya 300 kutekwa nyara leo huko Nigeria ?
Nasikiliza BBC World Service kipindi cha Newshour, niko dakika ya 17.
Wanaongelea mahusiano ya Saudi Arabia, Muhammed bin Salman na mauaji ya Khashoggi na uongozi wa Biden, na mabomu ya Marekani Syria.
Hawajaongelea Covid.
Tatizo inawezekana ni ufuatiliaji wako.
Wakuu Mimi sijitungii. Sasa hivi mnapocomment trend ya Corona inapoa kidogo. Wakati second wave inapigiwa kampeni niliingia reddit.Hakuna lolote!
Conspiracy theories tu.

Eti leo corona imeanza kuzimwa tunarudishwa tena Syria na Yemen (middle east) kwa kasiInashangaza sana mkuu kwamba Magaidi hayaogopi kujilipua kwa mabomu ila yanaogopa Corona.
hapa ndo alishindwa kuelewa mtoa mada.Jibu linaweza kuwa rahisi tu kuwa hayo mengine siyo kwamba hayaendelei yanaendelea vizuri ila tu habari kubwa itakuwa ni hbr za corona hizo nyingine hazipati nafasi kubwa kihivyo maana hbr itakayokuwa inauza ni corona tu