Kuna Binadamu wana roho ngumu sana lakini si Bure huyo baba anaongozwa na nguvu za giza
Kwa mwanadamu mwenye akili timamu huwezi fanya mambo ya ajabu kama haya.
Mtunzeni mtoto aliyebaki you neva no atakuwa Rais wetu wa kesho ,,sijui baba ndo atakuja kuomba msamaha?
Inamaana hakuna hata wadau wanao rusha ndoano?
Wanaume wengine ni pasua kichwa! Ukimpata mwanaume mzuri ni afadhali umpende na kumheshimu kama mfalme!
Huyu ni shetani aliyevaa umbo la binadamu.
Pole kwa wana familia nanyi majirani,je? huyo mtoto aliye baki anaishi na nani?
:shock:Midume kama hiyo ipo,chamsingi jamii ielimishwe umuhimu wa malezi ya watoto pindi wazazi wanapofarakana au kutengana,ikishindikana wazazi wakashikishane adabu ustawi wa jamii.:shock: