Dunia ina mambo

Dunia ina mambo

aise imeniuma sana hiyo.duh...lakini labda na baba hayupo tena duniani.............big riddle!
 
Pole sana kwa wafiwa,Habari inasikitisha kwa kweli..Huyo baba na ndugu zake hawana utu kabisa.Hata kama huyo mama alimkosea angemsamehe.
 
Kuna Binadamu wana roho ngumu sana lakini si Bure huyo baba anaongozwa na nguvu za giza
Kwa mwanadamu mwenye akili timamu huwezi fanya mambo ya ajabu kama haya.
Mtunzeni mtoto aliyebaki you neva no atakuwa Rais wetu wa kesho ,,sijui baba ndo atakuja kuomba msamaha?
 
Yaani we acha tu kuna mtu amesema labda huyo baba ana pepo wa hasira inawezekana kabisa
 
Wanaume wengine ni pasua kichwa! Ukimpata mwanaume mzuri ni afadhali umpende na kumheshimu kama mfalme!

Huyu ni shetani aliyevaa umbo la binadamu.
 
Inamaana hakuna hata wadau wanao rusha ndoano?

we unadhani kuna mwanamke ambaye hatongozwi hapa duniani...sema linapokuja suala la ndoa Hata mwanamke huwa anaangalia kwanza tena anaangalia kwa kina (Mwanamke makini)
 
Wanaume wengine ni pasua kichwa! Ukimpata mwanaume mzuri ni afadhali umpende na kumheshimu kama mfalme!

Huyu ni shetani aliyevaa umbo la binadamu.

Tema mate juu

Anapasua kichwa si bada ya kuingia kichwa kichwa mbona na wanawake nao wapo hivyo hivyo pasua pua kabisa
 
hakuna natural justice hapa.........mleta habari hajui kwa nini baba aligoma na wala mama hakueleza kwa undani walikubaliana vipi kule alipoenda kumchukua mtoto..........ulimi ni kitu kibaya sana......watu wanalaumu tu yule baba kwa nini hajali....
 
Kuna uwezekano huyo Baba akawa na matatizo ya akili, ila watu wanamchukulia tu kuwa ana roho mbaya,,,, nawashauri kama mnaweza, wasilianeni na nduguze wajaribu kumtafutia Mwanasaikolojia aweze kumsaidia tatizo lake.. Sidhani kama angekuwa mzima kabisa angeweza kufanya aliyoyafanya...
 
:shock:Midume kama hiyo ipo,chamsingi jamii ielimishwe umuhimu wa malezi ya watoto pindi wazazi wanapofarakana au kutengana,ikishindikana wazazi wakashikishane adabu ustawi wa jamii.:shock:
 
Pole kwa wana familia nanyi majirani,je? huyo mtoto aliye baki anaishi na nani?
 
Pole kwa wana familia nanyi majirani,je? huyo mtoto aliye baki anaishi na nani?

Anaishi na bibi mzaa mama, akisaidiwa na mama zake wadogo, tunachoshukuru ndugu wa mama yake wana upendo sana mpaka mtoto anajiona kama bado yuko na mama yake.
 
:shock:Midume kama hiyo ipo,chamsingi jamii ielimishwe umuhimu wa malezi ya watoto pindi wazazi wanapofarakana au kutengana,ikishindikana wazazi wakashikishane adabu ustawi wa jamii.:shock:

Ustawi wa jamii my dear hamna kitu. Wangekuwa wanawashikisha wazazi adabu kusingekuwa na hizi kesi za watu kutelekeza familia kila kukicha
 
Back
Top Bottom