Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ni Pm basi tupange makutano yetu Zhakiem.Nasikia. Kuna kitongoji kina jina ilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Pm basi tupange makutano yetu Zhakiem.Nasikia. Kuna kitongoji kina jina ilo
Lazima ianze leo wewe hutaki kunidanga?Makutano mwakani
Mipango inaanza tarehe 31/dec
Oooh mbona ratiba ya Nov umekataa kutoa?[emoji3][emoji3]
Mbagala hua hatudangi ..au umesahau ilo
hahah its serious mkuu sijui inakuwaje but jamaa ilikuwa akipanic tu huku mambo yanajipa sijajua ni ,mechanism gani inafanyika.
Nitaitoa Leo jioni jirani
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Kwa zile pweza za 200 lazima tule wote.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kaa tayari jirani
Pweza zinanitoa mabaka jirani..nimeacha kula
[emoji3][emoji3]
Jirani I can't you
Ukiwa tayari nitakupa mwanzo kama una utayari lakini.Sina
Labda unifunze
Hapo sawa.Sawasawa jirani