Dunia ina mambo

mwanaume wa 3 yuko mbioni kumtenda.si umesema rafiki yako ana girlfriend wake.
atamuacha kweli kwa ajili ya huyu mama mwenye watoto mke wa mtu:
 
mwanaume wa 3 yuko mbioni kumtenda.si umesema rafiki yako ana girlfriend wake.
atamuacha kweli kwa ajili ya huyu mama mwenye watoto mke wa mtu:

du kama nilivyotangulia kusema kwamba wote wanajua hali halisi ila wameamua kuchakachuana kwa hiari zao wenyewe
 
"Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako. " (Kutoka 20:17).
 
Utajuaje details za huyo frend wako kiivyo? Mbona unamjibia kiufasaha hivyo? Sema tu unatafuta ushauri wewe!
 
Kwanza huyo jamaa amkimbia huyo mama kama ukoma maana mke wa mtu hatari
pili huyo mama amkimbilie mungu wake kikweli na atajibiwa tu maana mungu ni mwema, with time mume wake atabadilika tu
 
kama huyo mke wa rafiki yako ana binti aliyekuwa kuwa kidogo, we chukua huyo binti alafu muonyeshee ndiyo akome hizo tabia
 
"Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako. " (Kutoka 20:17).

nikweli kabisa mkuu unaelekea kabisa na kwenye jibu langu nilosema nitatoa mwishoni
 
Utajuaje details za huyo frend wako kiivyo? Mbona unamjibia kiufasaha hivyo? Sema tu unatafuta ushauri wewe!

mkuu kumbuka nimesema ni best yangu atufichani kitu ukiona najibu ni ili nipate majibu tofauti niongezee na yangu ili ukimpa mtu ujue umempa jibu bomba ata akienda kwa wengine akutane na majibu yale tena yangu yawe zaidi kwani yamejibiwa na magreatthinker ni hayo tu
 
Kwanza huyo jamaa amkimbia huyo mama kama ukoma maana mke wa mtu hatari
pili huyo mama amkimbilie mungu wake kikweli na atajibiwa tu maana mungu ni mwema, with time mume wake atabadilika tu

thanx kwa majibu mazuri
 
umegusa pake mbona ni yeye huyo anatuyeyusha hapa

mkuu ucusemee moyo wa mwenzio kumbuka hapa ni jukwaa huru atufichani ningekuwa ni mm ningekwenda direct bila kona so badala ya kugeuza mada tupeane mawazo
 
Utajuaje details za huyo frend wako kiivyo? Mbona unamjibia kiufasaha hivyo? Sema tu unatafuta ushauri wewe!

hahaha mzee naona kama unaona mbali sana!!!
 
mwambie rafiki yako kuwa kwa sasa atajiona mshindi kutembea na huyo mama, akijua ni mke wa mtu. Lakini historia ina tabia ya kujirudia, iko siku yatamtokea yeye, kama hata kufa kwa ukimwi. Mwanamke wa namna hiyo hata ishia hapo, baada ya muda atamwambia achana na GF wako yeye atakataa, mwanamke atatafuta BF mwingine, niambie hiyo chain, sio ngoma hiyo?:nono:
 
point mkuu
 
nadhani unamaanisha kuwasilisha kwa wana jf siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…