Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo nimekutana na rafiki yangu alonieleza limenishangaza kwamba mke wa mtu anamwomba awe boyfriend wake na anamwomba asije kumtenda kama mme wake alivyomtenda na alipojaribu kumdadisi ni kwamba mke na mume wanaugomvi wa miaka mingi kila mmoja ana BF na Gf ila mke BF wake amemtenda so ameumizwa na 2men nyakati tofauti so anamwomba wawe wpenzi wa siri ila asijemtenda.
kabla sijampa ushauri nawakililisha kwa magreatthinker hapa tumpe kijana ushauri
mwanaume wa 3 yuko mbioni kumtenda.si umesema rafiki yako ana girlfriend wake.
atamuacha kweli kwa ajili ya huyu mama mwenye watoto mke wa mtu:
kama huyo mke wa rafiki yako ana binti aliyekuwa kuwa kidogo, we chukua huyo binti alafu muonyeshee ndiyo akome hizo tabia
umegusa pake mbona ni yeye huyo anatuyeyusha hapaUtajuaje details za huyo frend wako kiivyo? Mbona unamjibia kiufasaha hivyo? Sema tu unatafuta ushauri wewe!
"Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako. " (Kutoka 20:17).
Mbali wapi huko walishafika? Au jamaa tayari alishafanya mambo fulani? na nini hasa kinachomliza huyo mwanamke?
Utajuaje details za huyo frend wako kiivyo? Mbona unamjibia kiufasaha hivyo? Sema tu unatafuta ushauri wewe!
Utajuaje details za huyo frend wako kiivyo? Mbona unamjibia kiufasaha hivyo? Sema tu unatafuta ushauri wewe!
mwambie rafiki yako kuwa kwa sasa atajiona mshindi kutembea na huyo mama, akijua ni mke wa mtu. Lakini historia ina tabia ya kujirudia, iko siku yatamtokea yeye, kama hata kufa kwa ukimwi. Mwanamke wa namna hiyo hata ishia hapo, baada ya muda atamwambia achana na GF wako yeye atakataa, mwanamke atatafuta BF mwingine, niambie hiyo chain, sio ngoma hiyo?:nono:
nadhani unamaanisha kuwasilisha kwa wana jf siyo?leo nimekutana na rafiki yangu alonieleza limenishangaza kwamba mke wa mtu anamwomba awe boyfriend wake na anamwomba asije kumtenda kama mme wake alivyomtenda na alipojaribu kumdadisi ni kwamba mke na mume wanaugomvi wa miaka mingi kila mmoja ana BF na Gf ila mke BF wake amemtenda so ameumizwa na 2men nyakati tofauti so anamwomba wawe wpenzi wa siri ila asijemtenda.
kabla sijampa ushauri nawakililisha kwa magreatthinker hapa tumpe kijana ushauri