Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8

Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8

MimiNiMakini

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
7
Reaction score
20
Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8. Mungu aliumba watu wawili tu. Adam na Hawa. Sisi wengine bilioni 8 ni product ya kuzaliana.

So ukiamua kuTrace bloodline yako, chimba chibuko la babu na mababu zako lakini mwishoe utaangukia kwa Adam na Hawa. Na Mungu alivyowaumba Adam na Hawa aliwapa nguvu, uwezo na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani. Mamlaka hayo Mungu hajawahi kuyachukua kutoka kwa Adam na Hawa mpaka leo, na sisi kama Vitukuu vya Adam na Hawa bado tuna mamlaka ya kuongoza na kutawala kila chenye uhai na kisicho na uhai.

Hii ni nafasi pekee ya upendeleo tuliopewa na Mungu moja kwa moja na viumbe vingine havikupata huu upendeleo.

Kukata tamaa na kushindwa kutumia mamlaka uliyopewa na Mungu ni sawa na kumdhihaki. Kukubali maisha yakunyanyase wkt MUNGU alikupa upendeleo ni kumnyima shukrani Mungu.

Kutumia vizuri nguvu, uwezo na mamlaka aliyotupa Mungu ni ibada. Kupindua meza ni kumsifu Mungu kwa upendeleo aliotupa for free. It doesn’t matter upo Kigoma - kazuramimba ama upo Dar - Masaki.

Mungu alisema “Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.”
 
Jambo zuri.
Kuna kitu nimekipata hapo
(Asomaye na afahamu)
 
Sote ni ndugu, sisi sote ni ndugu,
sote ni ndugu,watoto wa mama mmoja
Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8. Mungu aliumba watu wawili tu. Adam na Hawa. Sisi wengine bilioni 8 ni product ya kuzaliana.

So ukiamua kuTrace bloodline yako, chimba chibuko la babu na mababu zako lkn mwishoe utaangukia kwa Adam na Hawa. Na Mungu alivyowaumba Adam na Hawa aliwapa nguvu, uwezo na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani. Mamlaka hayo Mungu hajawahi kuyachukua kutoka kwa Adam na Hawa mpk leo, na sisi kama Vitukuu vya Adam na Hawa bado tuna mamlaka ya kuongoza na kutawala kila chenye uhai na kisicho na uhai.

Hii ni nafasi pekee ya upendeleo tuliopewa na Mungu moja kwa moja na viumbe vingine havikupata huu upendeleo. Kukata tamaa na kushindwa kutumia mamlaka uliyopewa na Mungu ni sawa na kumdhihaki. Kukubali maisha yakunyanyase wkt MUNGU alikupa upendeleo ni kumnyima shukrani Mungu.

Back
Top Bottom