Dunia inabadilika sana.

Dunia inabadilika sana.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani siku hizi mwanamke mwenye matako makubwa (wowowo)anajiamini sana kuliko yule mwenye degree..[emoji2][emoji2]
 
Ni mpito tu kwasababu hata wasio na nundu hawakufwi na utamu wao
 
Msambwanda uliokaa vizuri na msafi ni zaidi ya hiyo ki degree chako, kwani degree inamvutia mwanamme kwa lipi?
 
Sio Tz kila sehemu duniani.. Labda ww huna exposure, umewahi fika nchi zipi zingine zaidi ya Tz? Kuwa mkweli
Nikisema ndo mwanzo wa kuogopana au kuhisiana ila kiufupi tangu mwaka jana mwezi wa 11 mwanzoni sikuwa hata hapa afrika ndo nimerudibjuzi j.mosi.
Naomba kuishia hapo tafadhali.
 
Back
Top Bottom