MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Kwa sasa dunia inakoelekea kuzuri sana,yaani kule bahari ya shamu Houthi ukikatiza tu unapasuliwa na kule Homz Waajemi ukikatiza unapasuliwa.
Waendelee hivihivi mpaka watambue kwamba Iran siyo mtoto kwa sasa amekuwa mtu mzima ana ndevu anatakiwa kusikilizwa na kuheshimiwa siyo mtoto kama walivyozoea kumuona sawa sawa wandugu......ntakaja tena