Nikitazama nguvu gani baadhi ya mataifa yanawekeza kupambana na korona, nikitazama athari za korona katika katika baadhi ya mataifa kama watu kukaa majumbani siku kadhaa bila kufanya chochote ni wazi unaweza kuona kuna mataifa hayatuvulia "utani" juu ya korona.
Tujiulize hivi ni nchi gani itavumilia kuwa inashambuliwa na korona wanaweka karantini, wanafanya fumigation wanadhibiti alafu wanakaribisha maambukizi tena upya?
Bila shaka hilo haliwezekani. Ninachokiona na ulimwengu kuelekea kugawanyika kama korona haitapata dawa ikaendelea kudhibitiwa kwa tahadhari.
Mataifa yatakayoweza kudhibiti korona yatakata mawasiliano na mataifa ambayo yatakuwa yakiichezea korona na kuendelea kuigangania.
Je, Tanzania tunajiandaa kuwa upande wenye maslahi na afya kwa watu wetu?
Ni swali tujiulize Sote na tuchague upande.
Tusifanye mambo ya kufanya ili tuonekane tunafanya bali tuchague kufanya yale ambayo tuna uhakika yatanusuru taifa letu ambayo hayo hata tuonekane au tusionekane lakini tunajua watanzania watatukumbuka kwa matunda mazuri