Dunia inaenda kasi sana...

Marichris

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2020
Posts
571
Reaction score
509
Wallah wacha nilale kimsingi nimechoka aswa aswa baada kuinywa hii beer ya Kijapan 😫 😫 😫 😫 😫

 
Mbunye yenye sura ya Dog, ngoja akina Jael, Amu, na wenzake wake watuambie aina hii ya sura 😝 😝 😝 😝
  • 😝
 
Unadhani Wajapan wamemaanisha ulichokiamini au ulichokifahamu wewe? Dunia ina lugha nyingi,neno ambalo kwako ni tusi linaweza kua na maana nyingine kabisa kwenye lugha nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…