Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc
In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?
Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.
Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.
Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc
Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?
Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.
With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.
Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,
tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.
Take care
Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada