Dunia inaenda kasi, shaurini watoto wenu nini cha kusomea. Kuna baadhi ya kazi zinakwenda kupotea mazima

Kuna maeneo AI katika idara ya afya zinaenda kufanya vizuri sana kuliko Doctor ( manually) ingawa AI haiendi kuondoa uhitaji wa Doctor
😹 unapingana ukwel. You gotta learn how to accept changes and truth.

Robotics zipo programmed kwenye consultation one robot can diagnosis 100 patients within one hour . Fast and accurate. Vipimo vikiendq maabara vinakuwa analyzed in few minutes . Info zinakuwa trasmitted to robots.

Chap’ inatoa interpretation na prescription. Robots inaweza hudumia 1000 patients per day with accuracy and speed , Can you ? How many errors will you be making.?

Ulipaswq kusema kwa TZ , replacement itachelewa kidogo mana hadi leo bado mnakimbizana na kujaza ugali kwenye vichwq. Nairobi tu wameshaanza kutumia robots
 
Kwa Tanzania CCM watoto wao hawasomi shule hizooooooo Kwa hiyo hawana haja na Taifa Hili wao wanafikiri wakisoma watoto wao inatosha !!Maana naona hiyo Mitaala ni historia zile zile za panzi
 
😹 unapingana ukwel. You gotta learn how to accept changes and truth.

Robotics zipo programmed kwenye consultation one robot can diagnosis 100 patients within one hour . Fast and accurate. Vipimo vikiendq maabara vinakuwa analyzed in few minutes . Info zinakuwa trasmitted to robots.

Chap’ inatoa interpretation na prescription. Robots inaweza hudumia 1000 patients per day with accuracy and speed , Can you ? How many errors will you be making.?

Ulipaswq kusema kwa TZ , replacement itachelewa kidogo mana hadi leo bado mnakimbizana na kujaza ugali kwenye vichwq. Nairobi tu wameshaanza kutumia robots
Hujaelewa point yangu.
nipo kwenye hiyo field, naelewa nilicho andika
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Ila Mkuu Megalodon hapo kwenye gari za manual sio kweli sana, sababu hadi leo zinaendelea kuzalishwa tena kwenye modern cars kabisa.

Sema tu wavivu wamekuwa wengi ndio wakaamua kurahisisha kila mtu aweze kuendesha gari kwa urahisi.
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Ni kweli hatuhitaji wakulima, walimu, hatuhitaji makanisa wala shule, hatuhitaji vyoo wala nyumba.

AI is overated
 
Wakati computer zinaanza kutajwa kutumika benki hapa Tanzania in mid 80s. Nakumbuka shuleni kwetu pale wanafunzi wa Science walikuwa wanawakatisha tamaa wanafunzi wanaosoma book keeping na kuwaambia ajira zenu za benki zinaota mbawa soon kwa sababu benki zitaanza kutumia computer.
Hayo mambo ya dunia ya kwanza sisi bado sana kutegemea AI. So don't worry.
 
[emoji81] unapingana ukwel. You gotta learn how to accept changes and truth.

Robotics zipo programmed kwenye consultation one robot can diagnosis 100 patients within one hour . Fast and accurate. Vipimo vikiendq maabara vinakuwa analyzed in few minutes . Info zinakuwa trasmitted to robots.

Chap’ inatoa interpretation na prescription. Robots inaweza hudumia 1000 patients per day with accuracy and speed , Can you ? How many errors will you be making.?

Ulipaswq kusema kwa TZ , replacement itachelewa kidogo mana hadi leo bado mnakimbizana na kujaza ugali kwenye vichwq. Nairobi tu wameshaanza kutumia robots
Wewe jamaa kudiagnose mgonjwa kuna hitaji history physical examination sasa kuna robot anaweza kumuexamine mgonjwa unajua unaongea vitu usivyovifahamu mkuu unaijua vizuri kozi ya afya ??? Robot anaweza kufanya follow up ya mgonjwa clinic
 
Hujaelewa point yangu.
nipo kwenye hiyo field, naelewa nilicho andika
«nipo kwenye hiyo Field ndio nini?’´´; that statement is inferiority complexity and insecure.

Lets discuss FACTS , hatuwezi kujadili neno nipo kwenye hiyo field, wewe unajua mimi nipo kwenye field gani ?

Hatuwezi kujadili mambo kama laypersons with defense statement kama « nipo kwenye hiyo field « kama upo kwenye hiyo field so what?

Bring your facts as to why technology will not affect number of physician required to sit and prescribe ?

Medicine ambayo itachelewa kuwa affected ni surgeon tu tena na yenyewe ipo njiani mana in some countries brain surgeries, Labor C section zote zinafanywa na roboti

Hiyo medicine yako unakaa kwenye kiti na kuuliza unaumwa nini na kuangalia miongozo ya STG inakwenda kufa… in some countries imeshakufa.

Unataka kuniambia wewe utakuwa bora zaid ya robot ? 😹
 
Sawa, upo sahihi.
 
Wewe jamaa kudiagnose mgonjwa kuna hitaji history physical examination sasa kuna robot anaweza kumuexamine mgonjwa unajua unaongea vitu usivyovifahamu mkuu unaijua vizuri kozi ya afya ??? Robot anaweza kufanya follow up ya mgonjwa clinic
Tatizo lenu mpo kwenye Ujima…. Everything is programmed. And usome kwa kuelewa….. itapunguza namba….

Kama tunaweza ku sense na ku recognize your face electronically … other senses zimekuwa programmed as well

What is follow up?

Follow up ni record keeping… . All patients records zipo recorded and integrated….

Only one click inakupa feedback

Wewe unaweza kuwa na follow up nzuri zaidi ya softwares? Akil yako inafanya kazi sawa sawa kweli ?

Shida kubwa TZ mmpo nyuma 50 years na mitala ya elimu haiwaandai based on modern technology na hiyo ndio sababu hakuna mtu mwenye hela ataenda kutibiwa kwenye Hosp za TZ. Hata mawaziri wenu wa Afya wanaenda nie why?

Technology inayotumika TZ kwenye treatment ni old version…. I can feel your argument. You are not exposed yet
 
Back
Top Bottom